Msanii wa kizazi kipya Faridi kubanda maarufu kama Fid Q akitumbuiza
wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika Cocobeach mwishoni mwa
wiki
MC shabani Rugage aka Kidevu cha kuku na MC Aloyce aka Adam wakifanya
vitu vyao jukwaani wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika
Cocobeach mwishoni mwa wiki
Kundi la sarakasi la la jijini Dar es salaam likitoa burdani kwa maelfu
ya watanzania waliohudhuria tamasha la Airtel Yatosha lililofanyika
Cocobeach mwishoni mwa wiki
Kundi la Kinoko........ likitoa burudani wakati wa wa Tamasha la Airtel
yatosha Yatosha lililofanyika Cocobeach mwishoni mwa wiki
Umati wa watu waliohudhuria tamasha la Airtel yatosha jijini Dar es
saalam wakipata burudani huku wakishika mabango ya kuwashangilia wasanii
mahiri wa kizazi kipya katika tamasha la Airtel yatosha Fid Q
alionekana kung'ara zaidi
Msanii wa kundi la Tip top connection Tunda man akitoa burudani kwa
wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika Cocobeach jijini Dar
es Saalam mwishoni mwa wiki
Msanii wa kizazi kipya Faridi kubanda maarufu kama Fid Q akitumbuiza
wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika Cocobeach mwishoni mwa
wiki
Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Levi Nyakundi akibadilishana mawazo na
Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando wakati wa tamasha la Airtel
yatosha lililofanyika Cocobeach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa wiki
Msanii wa kizazi kipya miondoko ya Hip Hop maarufu kama Ney wa Mitego
akimwaga burudani kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa kizazi kipya
wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika Cocobeach jijini Dar
es Saalam mwishoni mwa wiki
No comments:
Post a Comment