Makamu wa Rais Dk. Mohamed
Gharib Bilal jana kabla ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Pamoja wa Wanasayansi watafiti Afrika alipata
fursa ya kutembelea mabanda ya Monyesho yaliyopo katika Viwanja vya Snow Crest
Hotel jijini Arusha.
Naibu
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (kushoto) akiteta
jambo na Wabunge Steven Ngonyani 'Maji Marefu' na Cecilia Paresso.
Makamu
wa Rais kabla ya kuingia katika Mabanda hayo alipokelewa na viongozi
mbalimbali wa Wizara ya Afya na Usatawi wa jamii pamoja na Taasisi ya
Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR).
Makamu
wa Rais akipata maelezo ya namna ya Chujio la Maji linalofanyiwa
utafiti na NIMR linavyofanya kazi ya kuchuja maji na kuwa salama kwa
kunywa. Pindi utafiti huu utakapokamilika wananchi wataweza kunywa maji
safi na salama majumbani mwao.
Akiendelea kupata Maelezo...
Makamu wa Rais alijitahidi kupita kila Banda na lupata maelezo ya kina ya Wahusika.
Chuo Kikuu cha Muhumimbuli nacho kipo katika maonesho hayo.
Moja ya Makampuni yanayouza vifaa vya Mahospitalini nayo yalikuwepo katika maonesho hayo mjini Arusha.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipita katika banda la Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Kuambukiza Kusini
mwa Afrika (SACIDS)
Makamu wa Rais akipata maelezo ndani ya Banda la Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF).
Makamu wa Rais akiwa banda la OHCEA.
David
Mbulimi kutoka Taasisi ya utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Ifakara,
akitoa Maelezo ya taasisi hiyo kwa Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib
Bilal. Kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Dk. Seif Rashid.
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal akipita katika banda la Mamlaka ya Chalula na Dawa Tanzania (TFD),
No comments:
Post a Comment