March 09, 2013

WAZIRI MKUU WA DENMARK AKUTANA NA KATIBU MKUU WA EAC ARUSHA


Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Africa Mashariki (EAC) Dk. Richard Sezibera (kulia) akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark Mh  Helle Thorning Schmidt alipotembelea makao makuu ya jumuiya Arusha,Tanzania.
 Waziri mkuu wa Denmark, Helle Thorning Schmidt, Waziri  Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu,Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dk. Richard Sezibera  pamoja na maofisa wa juu wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja nje ya jingo jipya la Makao makuu ya EAC jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment