Balozi wa
Ireland hapo Nchini Fionnuala Gilsenan akizindua maktaba ya shule ya sekondari
Moite Bwawani,wilaya Monduli,huku akishuhudiwa na mbunge wa jimbo hilo,Waziri
Mkuu mstaafu Edward Lowassa .Maktaba hiyo iliyogharimu zaidi ya shilingi
milioni 81,ujenzi wake umefadhiliwa na marafiki wa afrika kutoka Ireland
kwa ushirikiano na jumuiya ya wamisionari wa Ireland wanaosaidia afrika(SMA)
Balozi wa
Jamuhuri ya Ireland hapa Nchini Fionnuala Gilsenan(kushoto) na Mbunge wa
Monduli ambaye pia Ni Waziri Mkuu Mstaafu Mh Edward Lowassa katika ufunguzi wa
maktaba ya shule ya Sekondari Moite Bwawani wilaya Monduli iliyogharimu zaidi
ya shillingi millioni 81. Maktaba hiyo imejengwa kwa ufadhili wa marafiki wa
Afrika kutaka Irelanda wakishirikiana na jumuiya ya wamisionari kutoka Ireland
wanaosaidia Afrika (SMA)
No comments:
Post a Comment