March 04, 2013

WAKENYA WAPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA KIHISTORIA NCHINI KWAO LEO

Hii leo wakenya wamepiga kura katika uchaguzi wa kihistoria chini ya katiba mpya. Foleni tayari zimeanza kushuhudiwa katika vituo. Kinyang'anyiro ni kikali kati ya Muungano wa Cord na Jubilee wa Raila Odinga na Uhuru Kenyatta.
Raia wa Kenya wakipiga kura zao leo kuchagua Viongozi wao katika kipindi kingine cha miaka mitano.
 
 
Misururu ya wapigakura ikiwa imejipanga kusubiri kupiga kura zao hii leo katika Uchaguzio wa Kihistoria na waanina yake Nchini Kenya. Hali ya Usalama na amani. Photos: Maxwell Agwanda-Nairobi.

No comments:

Post a Comment