March 08, 2013

NHIF YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI DAR

Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wakiandamana wakati wa maadhimisho Siku ya Wanawake Duniani, leo kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe, Dar es Salaam.
 
 

No comments:

Post a Comment