March 03, 2013

MAJAJI WA TUZO ZA AJAT 2012 WAANZA KAZI

Majaji wa EJAT 2012 katika picha ya pamoja baada ya kumaliza kazi ya kuzipitia entries 946 zilizoletwa na waandishi. Waliokaa kutoka kushoto ni Pili Mtambalike, Attilio Tagalile na Benardina Chahali. Waliosimama kutoka kushoto ni Mwanzo Millinga, Yusuph Omar Chunda, Ngahyoma Ngalimecha, Anaclet Rwegayura na Edda Sanga. Zoezi la Judgement lilifanyika ofisi za Baraza la Habari Tanzania (MCT).

No comments:

Post a Comment