KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
March 14, 2013
MAGAZETINI HII LEO
Yaliyojiri katikia Magazeti ya Leo ni juu ya
Kupatikana kwa Kiongozi Mpya wa Kanisa Katoliki Duninia ambaye ni Papa Francis
I na pia kukamtwa kwa Mmoja wa Viongozi wa Chadema huku katika kurasa za
michezo ni kuitwa kwa Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania kuikabili Morocco.
No comments:
Post a Comment