March 08, 2013

KENYATA BADO TISHIO KWA ODINGA



WAKATI wakenya na wakisubiri kwa hamu kubwa Matokeo ya uchaguzi wa nafasi ya Urais ambao walipiga kura Machi 4 mwaka huu bado Wagombea wawili Uhuru Kenyata na Raila Odinga wanavutana vikali kutafuta asiliamia 50% ya kura zote zilizopigwa waibuke washindi.



Hadi sasa Uhuru Kenyata amesha jizolea kura 4,819, 194 sawa na 49.59% hivyo kumfannya atafute asiliamia chache ya kura ajishindie kiti cha Urais na Raila Odinga amesha jipatia kura 4,323,153  sawa na 44.1%.

Matokeo hayo wakati wowote yaweza kuwa tayari.

No comments:

Post a Comment