Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala leo
imekutana na Ofisi ya Bunge kwa lengo la kupata taarifa ya utekelezaji wa
majukumu ya Ofisi hiyo ikiwa ni utekelezaji wa shughuli za kamati.
Pichani ni Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba Sheria na
Utawala Mhe. Pindi Chana akizungumza jambo katika kikao na watendaji wa Ofisi
ya Bunge wakati kamati hiyo ilipokutana na watendaji wa Ofisi ya Bunge
kufuatilia utekelezaji wa majuku ya Ofisi hiyo.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa
kamati hiyo Mhe. William Ngeleja
Katibu
wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa kamati ya
katiba, Sheria na Utawala wakati wa kikao na kamati hiyo iliyokutana na
watendaji wa Ofisi ya Bunge kwa lengo la kupata taarifa ya utekelezaji wa
majukumu ya Ofisi hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na rasilimali watu
Bi. Kitolina Kippa
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah
akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa kamati ya katiba, Sheria na Utawala wakati
wa kikao na kamati hiyo iliyokutana na watendaji wa Ofisi ya Bunge kwa lengo la
kupata taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo.
No comments:
Post a Comment