January 07, 2013

MBUTU SASA KUJENGWA DARAJA LA KISASA

 Wananchi wakivuka katika sehemu itayojengwa darala la kisasa la Mbutu la Igunga ambao ujenzi wake umezinduliwa leo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete, hatua ambayo itatatua kabisa tatizo la miundombinu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mradi wa Chujio la maji safi kwa mji wa Igunga sehemu za Bulenya ambapo wakazi asilimia 70 wa mji huo watapata maji safi.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia mashine ya kuchimbia mashimo ya nguzo za daraja na baadaye anakata utepe kuzindua ujenzi daraja la Mbutu Igunga
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mradi wa Chujio la maji safi kwa mji wa Igunga sehemu za Bulenya ambapo wakazi asilimia 70 wa mji huo watapata maji safi.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na kutoa ushauri kwa kundi la vijana 10 ambao baada ya kumaliza chuo kikuu wamejikusanya na kuunda kikundi cha ujasiriamali mjini Igunga wakijishugulisha na Kilimo

No comments:

Post a Comment