KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
December 26, 2012
WATOTO WALIVYOIFURAHIA X MASS NDANI YA DAR LIVE
Pichani juu ni taswira mbalimbali za watoto wakijiachia ndani ya Dar Live muda huu, kabla ya Ndonga za mwaka kuanza kati ya mabondiaMbwana Matumla na David Charanga kutoka Kenya, bondia Mada Maugo na Yiga Juma wa Uganda na Bahati Mwafyela atakayechapana na Chupaki Chipindi. Baada ya ndondi hizo wakali Diamond Platinumz na Ommy Dimpoz watashusha shoo bab kubwa ndani ya ukumbi huo. Wapenzi wote wa burudani mnakaribishwa Dar Live jana.
No comments:
Post a Comment