Mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Travel Partner akimtambulisha mkurugenzi wa Fedha Happnesy Eric Mashauri katika sherehe ya kufunga mwaka iliyofanyika kwenye ukumbi wa Happy Dragon Chinese Restaurant Kawe jijini Dar es salaam usiku huu, ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo na wageni waalikwa mbalimbali pamoja na wateja wa kampuni hiyo wamealikwa ili kusherehekea pamoja katika kufunga mwaka wa 2012.
Mkurugenzi wa Fedha Happness Eric Mashauri akijadili jambo na Anja Meneja Utalii wa kampuni hiyo Kulia ni Jerad Luitiko Mhasibu wa Kampuni ya Travel Partner.
Mesma Chochote MC Duble A akielekeza jambo katika hafla hiyo.
Waalikwa Mamaa Tina na Mamaa Fatma wakipozi kwa picha
Wadau mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.
Maafisa mbalimbali wa kampuni ya utalii ya Travel Patner wakiwa katika hafla hiyo usiku huu.
Wafanyakazi wa kampuni ya Travel Patner na wageni waalikwa wakiserebuka katika hafla hiyo usiku huu.
Erika Mashauri Mkurugenzi wa kampuni ya Travel Patner akigonganisha glasi ya mvinyo na maafisa wa kampuni hiyo katika sherehe hiyo iliyofanyika ukumbi wa Happy Dragon Chinese Restaurant Kawe jijini Dar es salaam
Profesa Japhet Killewo kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha Tiba Muhimbili kushoto akigonganisha glasi na Mzee James Marwerwe katika hafla hiyo.
Alice Jacob na Jerad Luitiko wakikata keki katika kuashiria mafanikio ya kampuni hiyo katika sekta ya Utalii nchini.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla hiyoMiss Anja Kristensen Meneja Utalii wa kampuni ya Travel Patner akizungumza katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment