December 14, 2012

REDD'S MISS TANZANIA 2012 BRIGITE ALFRED KATIKA ZIARA MKOA WA KAGERA


Miss Redd's Brigitte Alfred, akikabidhi fimbo ya kutembelea kwa mmoja kati ya wanafunzi wa shule hiyo.

Wanafunzi wa shule ya Mugeza Mseto wakitokelezea kwa kunasa picha na Miss Tanzania.
Miss Redd's Brigitte Alfred akipozi na wanafunzi wa shule hiyo, ambao ni walemavu wa ngozi.
Brigete, akipozi kwa picha na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo.
Baadhi ya Walimu wa shule ya Mugeza Mseto wakiwa katika picha ya pamoja na Miss Redd's Brigitte Alfred.

Mwandishi wa Habari wa TBC akinasa matukio.
Miss Redd's Brigitte Alfred akisalimiana na wanafunzi .

Miss Redd's Brigitte Alfred akikabidhi msaada wa mafuta ya ngozi.
Picha zote kwa hisani ya Bukoba Sports.com.

No comments:

Post a Comment