Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Robin Goetzsche (wa pili kushoto)
na Redd's Miss Tanzania 2012,Brigiter Alfred (katikati) wakiwa katika
picha ya pamoja na Wakurugenzi wengine wa Kampuni hiyo,wakati Mrembo
huyo alipofika kukutana na kuzingumza mambo mbali mbali na Viongozi hao.
Redd's Miss
Tanzania 2012,Brigter Alfred (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Kushila Thomas
wakati mrembo huyo alipofanya ziara ya kutembelea kiwanda cha TBL na
kukutana kwa mazungumzo na Wakurugenzi wote wa Kampuni hiyo,Jijini Dar
es Salaam hivi karibuni.
Redd's Miss
Tanzania 2012,Brigter Alfred (kulia) akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Robin Goetzsche wakati
mrembo huyo alipofanya ziara ya kutembelea kiwanda cha TBL na kukutana
kwa mazungumzo na Wakurugenzi wote wa Kampuni hiyo,Jijini Dar es Salaam
hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment