December 03, 2012

RAIS KIKWTE AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA YA MWANZO RONDO,LINDI VIJIJINI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji  Kiongozi Fakhi Jundu(kushoto),Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe(watatu kulia) na mkuu wa mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo la Mahakama ya Mwanzo lilijengwa kwa nguvu za wananchi na wafadhili katika kata ya Rondo,jimbo la Mtama,Lindi vijijini jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Jaji Kiongozi Fakhi Jundu wakikagua jengo jipya la mahakama ya Mwanzo lililojengwa kwa nguvu ya wananchi na wafadhili mbalimbali katika kata ya Rondo, jimbo la Mtama,Lindi vijijini jana

No comments:

Post a Comment