Meneja wa Benki ya NMB, Tawi la Makao Makuu, Benadicta Byabato (kushoto) akimkabidhi
mshindi wa Maisha Plus Seasons 3 Bernick Kimiro kitita cha Shilingi Milioni
20 baada ya kuibuka mshindi katika shindano lililomalizika juma lililolipita
jijini Dar es Salaam.
Bernick Kimiro akifungua akaunti NMB leo huku kaka yake Abdulazizi Abasi (kushoto aliyesimama) na ofisa wa benki hiyo wakifuatilia kwa makini
Mtoto Amarisa Sevuri akiwa ameshika kitita cha Bernick Kimiro na Rachel
Ndauka ambaye ni rafiki yake na Bernick Kimiro
No comments:
Post a Comment