Mkazi wa Sembeti, Kata ya Marangu
Wilaya ya Vunjo Mkoani Kilimanjaro
akiangalia eneo la ujenzi wa daraja Huna ambalo ni zaidi ya miaka 8 sasa Ujenzi
wake haujakamilika huku Wananchi wa eneo Hilo wakiendelea kuteseka na usafiri
wa uhakika hasa waa magari katika kipindi cha Mvua. Wananchi wa eneo hilo
wanamuomba Munge wao Augustino Lyatonga Mrema kuingilia katika Ujenzi huo ambao
unadaiwa kutokamilika baada ya fedha za mradi huo kutafunwa na Wajanja.
No comments:
Post a Comment