Mtangazaji na
mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Grace Kingalame
amefanyiwa tafrija maalum ya kumuaga Binti huyo kabla ya kufunga ndoa yake
takatifu na Mwana habari Mwenzake ambaye anaadikia gazeti la JamboLeo Julias Kihampa.
Pichani ni Biharusi hutyo mtarajiwa akiwa katika pozi na warembo waliompamba na
kumlinda siku hiyo.
Grace
Kingarame wa TBC One na mpambe wake wakikata keki wakati wa mnuso wa
Send Off ya mtangazaji huyo iliyofanyika ukumbi wa Mwenge Social hall
jijini Dar es salaam
Wazaa chema
Grace na wafanyakazi wenzie
Shangazi wa Grace akidai kodi ya pango toka kwa mshenga
Wafanyakazi wa TBC One wakijirusha na Kwaito
Grace akimpa zawadi hazbendi mtarajiwa Julius
Zawadi ya maandazi ilitolewa na wafganyakzi wa TBC One
No comments:
Post a Comment