Dereva wa Gari aina ya Nissan Hardbody T 420 BPD akivuja damu huku akijaribu kuwasiliana na ndugu zake usiku huu
baada ya gari alilokuwa akiendesha akitokea Ubungo kwenda Bugururuni, kupinduka
mara mbili katika eneo la Tabata Dampo barabara kuu ya Mandela jijini Dar es
Salaam. Kabla ya kupinduka gari hili lilianza kuyumba na kasha kupinduka mara
hizo mbili na kusimama na kugeukia alikotoka.
Gari hilo Toyata Hardbody likiwa limeharibika baada ya kupinduka na kugeuka lilikotokea.
Dereva akiinuka kutoka ene aliko anikatika eneo la kati ya barabara na kuchechemea.
No comments:
Post a Comment