November 26, 2012

TESKER CHALLENGE CUP, ZANZIBAR HEROES ERITREA HAKUNA MBABE

Wachezaji wa timu za Zanzibar na Eritrea wakiwania mpira wakati wa mchezo dhidi ya timu ya Eritrea wakati wa michuano ya Tusker Cecafa Challenge 2012 uliochezwa katika Uwanja wa Mandela nchini Uganda.Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.
Beki wa timu ya Zanzibar Heroes, Said Chollo akimiliki mpira wakati wamchezo dhidi ya timu ya Eritrea wakati wa michuano ya Tusker Cecafa Challenge 2012 uliochezwa katika Uwanja wa Mandela nchini Uganda. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.

No comments:

Post a Comment