November 12, 2012

MANATSA NDIE BINGWA WA MICHUANI YA JOHNNIE WALKER WAITARA 2012

Mshindi wa jumla wa mashindano ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012 Sudson Manatsa akinyanyua juu vikombe vyake viwili alivyoshinda wakati wa Mashindano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake kikali cha Johnnie Walker.

Mgeni rasimi wa Mashindano ya Johnnie Walker Waitara Trophy,  Mlezi wa Gofu nchini Kenya na Mkurugenzi wa ICEA LION, Dunkan Nderitu Ndengwa kutoka nchini Kenya  akimkabidhi zawadi Mshindi wa jumla wa mashindano ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012 Sudson Manatsa. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon  akimkabidhi zawadi Mshindi wa pili wa  daraja A, Aidan Nziku  kikombe na zawadi nyingine baada ya kuibuka mshindi wa kundi hilo katika mashindano ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon  akimkabidhi zawadi Mshindi wa daraja A, Michael Makala kikombe na zawadi nyingine baada ya kuibuka mshindi wa kundi hilo katika mashindano ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.
Mgeni rasimi wa Mashindano ya Johnnie Walker Waitara Trophy,  Mlezi wa Gofu nchini Kenya na Mkurugenzi wa ICEA LION, Dunkan Nderitu Ndengwa akizungumza wakati wa tafrija ya utoaji zawadi kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.

Mgeni rasimi wa Mashindano ya Johnnie Walker Waitara Trophy,  Mlezi wa Gofu nchini Kenya na Mkurugenzi wa ICEA LION, Dunkan Nderitu Ndengwa akizungumza wakati wa tafrija ya utoaji zawadi kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker. Wengine kutoka kulia ni Jenerali mstaafu George Waitara (mwenye mashindano), Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Bia ya Serengeti jaji mstaafu Mark Bomani na Mkurugenzi Mkuu wa SBL, Stephen Gannon.
 Mkuu wa Majeshi Mtaafu, Jenerali George mwita Waitara  akizungumza wakati wa tafrija ya utoaji zawadi kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Mashindano hayo yaliyofanyika kwa mara ya pili mwaka huu kwaajili yua kuenzi mchango wa Jenerali Waitara katika gofu nchini yalidhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker. 
Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Bia ya Serengeti jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi zawadi kwa baadhi ya wachezaji wa gofu waliofanya vizuri katika mashindano hayo. Jaji Bomani pia ni Mlezi wa Gofu Tanzania.

Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Bia ya Serengeti jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi ubao maalum wa kuandika Majina ya Washindi ya kila mwaka. Jaji Bomani pia ni Mlezi wa Gofu Tanzania.
Wadau mbalimbali walikuwepo katika utoaji zawadi kwa washindi wa kombe la Johnnie Walker Waitara 2012.
Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Bia ya Serengeti jaji mstaafu Mark Bomani akizungumza wakati wa tafrija ya utoaji zawadi kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.
Brand & Marketing Coordinator wa Precisition Air, Hillary Mremi,  akizungumza wakati wa tafrija ya utoaji zawadi kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Mashindano hayo yaliyofanyika kwa mara ya pili mwaka huu kwaajili yua kuenzi mchango wa Jenerali Waitara katika gofu nchini yalidhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker na kampuni ya Ndege ya Precision Air
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon  akizungumza wakati wa tafrija ya utoaji zawadi kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.
 Mkuu wa Majeshi Mtaafu, Jenerali George mwita Waitara  (kulia) akikabidhi tuzo maalum ya shukrani kwa wageni waalikwa kutoka nchi marafiki na JWTZ walioshiriki katika  michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Mashindano hayo yaliyofanyika kwa mara ya pili mwaka huu kwaajili yua kuenzi mchango wa Jenerali Waitara katika gofu nchini yalidhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker. 

No comments:

Post a Comment