Judith Nshobeirwe akimvika taji Mhitimu
mwenzake wa cheti cha biashara na masuala ya Teknolojia ya Habari na
Mawasiliano Hawa Nyato wakati wa Mahafali ya pili ya kitengo cha Komputer cha
Chuo Kikuu cha Dar es salaam,hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment