November 19, 2012

JK AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA HAYATI JACKSON MAKWETTA LEO


  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maomboleza alipofika kutoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu baada ya akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Makweta Bunju.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Makamu wa Rais Dkt Ghalib Mohamed Bilali akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali

No comments:

Post a Comment