Baadhi ya vijana waliofika katika mchujo
kutafuta timu 5 zitakazo liwakilisha taifa la Tanzania katika mashindano ya Guinness
Football Challnge (GFC) nchini Afrika Kusini, ambapo vijana wawili wawili
wanaonda timu moja na endapo kama timu hiyo itafanikiwa kushinda kule Afrika
Kusini itajinyakulia kitita cha Shilingi Bilioni 1 na Milioni mia nne.
Mkurugenzi wa Msoko wa Kampuni ya Bia ya
Serengeti (SBL) Ephraim Mafuru akionesha uwezo wake mkubwa wa kupiga danadana (ball Control) wakati wa Mchujo wa Guinness
Football Challenge (GFC) inayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Leaders Club
jijini Dar es Salaam.Hapo akipiga danadana za kifua.
Ali Bin Ali kutoka Mbagala Rangi tatu
akijaribu bahati yake kwa kupiga danadana (ball Control) wakati wa Mchujo wa
Guinness Football Challenge (GFC) inayoendelea hivi sasa katika viwanja vya
Leaders Club jijini Dar es Salaam. Ali alifanikiwa kupita katika mchujo huo kwa
upande wa uchezaji sijui mshiriki mwenzake aliyepo upande wa maswali.
Nelson Kessy Kigogo Mburahati, akijaribu
bahati yake kwa kucheza mpira (ball Control) wakati wa Mchujo wa Guinness
Football Challenge (GFC) inayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Leaders Club
jijini Dar es Salaam. Ali alifanikiwa kupita katika mchujo huo kwa upande wa
uchezaji sijui mshiriki mwenzake aliyepo upande wa maswali.
MC wa Mchujo huu Shafii Dauda (kulia) akiwa na baadhi ya washiriki.
Hili linahusika zaidi siku kama ya leo ambapo Guinness inauzwa buku tu.
Vyombo vinawekwa sawa kwa wale wasio shiriki katika mchezo hapa wanaweza kukata kiu taratibu.
Afidh Mkambala kutoka Temeke Mwembe Radu
akijaribu bahati yake kwa kucheza mpira (ball Control) wakati wa Mchujo wa
Guinness Football Challenge (GFC) inayoendelea hivi sasa katika viwanja vya
Leaders Club jijini Dar es Salaam. Ali alifanikiwa kupita katika mchujo huo kwa
upande wa uchezaji sijui mshiriki mwenzake aliyepo upande wa maswali.
No comments:
Post a Comment