Msanii wa Filamu na Maigizo ambaye anatamba kwa lafudhi yake ya Kikenya na siku hizi akiwa anatamba katika uimbaji Ummy Wenselaus maarufu Dokii akionesha chata ya 'JK' aliyoichora shavuni wakati msanii huyu na kundi lake walipokuwa mjini Dodoma katika Mkutano wa CCM kwaajili ya kutoa burudani.
Hapa Dokii akionesha Mtindo wake wa Nywele
Dokii Kati akiwa na vijana wake ambao hutoa nae burudani.
Hapa akionesha hiyo neno "VIMEGHARAMIWA NDIO MAANA VINAPENDEZA"
Hapa akiwa na Mheshimiwa Juma Othman Kapuya nje ya ukumbi wa Kizota kunako fanyika Mkutano wa CCM
No comments:
Post a Comment