November 06, 2012

BODI YA MICHEZO YA KUBAHATISHA YATEKETEZA MASHINE FEKI


 
 
Mkurugezi mkuu wa bodi ya bahati nasibu Tanzania Abasi Tarimba akiwa anasimamia uteketezaji wa mashine za kuchezesha bahati nasibu amabazo zimeingizwa nchini bila kufuata utaratibu ambazo zimeletwa na kufungwa maeneo ya ostabay zikitokea nchini urusi ambapo nchi ya urusi imepiga marufuku mchezo wa bahati nasibu mashine hizo zilikuwa 80 zenye thamani ya shilingi milioni 300 za kitanzania picha na chris mfinanga.

No comments:

Post a Comment