KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
October 30, 2012
Waziri Mkuu awasili Dodoma Kuhudhuria Kikao cha Bunge
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema
Nchimbi baaada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya
kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza Oktoba 30, 2012
No comments:
Post a Comment