October 28, 2012

Prezenta wa Clouds FM Arnold Kayanda auaga Ukapera

 Mtangazaji wa Kipindi cha Jahazi ndani ya Radio Clouds FM,Arnold Kayanda akiwa pamoja na Mai Waifu wake Aneth wakati wakiingia kwenye hafla ya Ndoa yao iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo kwenye Viwanja vya Karemjee,jijini Dar es Salaam.
 Bw. Arnold Kayanda na Bi. Aneth Kayanga wakilishana keki.
 Maharusi wakikata kekii.

No comments:

Post a Comment