October 31, 2012

NMB YATOA MSAADA KUFANIKISHA SHEREHE ZA UFUNGUZI WA CHUO CHA NELSON MANDELA



 Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini Bi. Vicky Bishubo (kushoto) akimkabidhi mfano wa Hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela Profesa Burton Mwamila kilichopo mkoani Arusha ukiwa ni mchango wa kufanikisha sherehe za ufunguzi wa Chuo hicho.
Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini Bi. Vicky Bishubo (wa pili kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 Makamu Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandela Profesa Burton Mwamila ili kufanikisha sherehe za ufunguzi wa Chuo hicho kilichopo mkoani Arusha. Akiangalia ni Meneja wa Benki ya NMB tawi la Clock Tower Bw. Ernest Olomi.

No comments:

Post a Comment