October 31, 2012

Naomi Mwakifulefule alipo lamba nondo ya OUT.


Naomi Mwakifulefule akimlisha keki  Mtoto wa kaka yake Saharon Yessaya Mwakifulefule wakati wa Hafala ya kumpongeza  baada ya kuhitimu Shahada ya Ualimu Utawala na Utanyaji Sera katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

 Naomi akipokea zawadi kutoka kwa marafiki zake

Yessaya Mwakifulefule akilishwa keki na mdogo wake Naomi Mwakifulefule wakati wa hafla ya kumpongeza kwa kuhitimu Shahada ya Ualimu Utawala na Utanyaji Sera katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)  iliyofanyika nyumbani kwao Sinza jijini Dar es Salaam.


Muhitimu wa Shahada ya Ualimu Utawala na Utungaji Sera katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Naomi Mwakifulefule akimlisha keki mmoja wa watoto waliohudhuria katika hafala hiyo iliyofanyika Nyumbani kwao Sinza jijini Dar es Salaam.


Naomi Mwakifulefule akimpongeza mama yake mzazi kwa kumlea katika maadili meme ambayo yamemfanya hadi ahitimu Shahada ya Ualimu Utawala na Utanyaji Sera Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Naomi Mwakifulefule akimlisha keki mmoja wa watoto waliohudhuria katika hafala hiyo iliyofanyika Nyumbani kwao Sinza jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment