October 24, 2012

Mwanamuziki Freddy Kanuti afariki dunia


Mwanamuziki mwingine afariki leo hii. Mwanamuziki mpiga Bass Freddy Kanuti ambaye anatoka katika familia ya wanamuziki, ambayo siku za karibuni walianzisha bendi ya familia PFJ Band amefariki dunia mchana huu. Mungu amlaze pema peponi.

No comments:

Post a Comment