August 08, 2012

MBIO ZA BAISKELI SHINYANGA KAHAMA SHINYANGA

 Baadhi ya washiriki wa mashindano  Safari  Baiskeli Kanda ya Ziwa ya wakijiandaa kuondoka kwenda Kahama na kurudi  katika Uwanja wa Kambarage ikiwa ni maadhimisho ya Siku Kuu ya Wakulima
Baadhi ya washiriki wa mbio za Safari Baiskeli wakiwa maeneo ya Kagongwa wakielekea Kahama wakati wa mashindano hayao

No comments:

Post a Comment