KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
April 18, 2012
Waziri Mkuu ateta na Nassari wa Chadema
"Dah! Ubunge raha sana, lini ningeongea hivi na PM"
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki , Joshua Nassari kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 18,2012.
No comments:
Post a Comment