April 19, 2012

Waziri Mkuu akijibu Maswali ya Papo kwa papo Bungeni

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza swali kutoka kwa kiongozi wa upindani Bungeni, Freeman Mbowe wakati wa kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 19, 2012.

No comments:

Post a Comment