April 06, 2012

Simba leo kama kawa... Kiskosi cha Kwanza cha tajwa

 Kikosi kamili cha Simba kilichoshuka dimbani kuchuana na Es Satif, Simba katika mchezo wa  kwanza jijini Dar es Salaam.
 KIKOSI cha Simba kitakacho shuka Dimbani hii leo kuchuana na Es Setif mjini Setif Algeria.

Juma Kaseja, Shomari Kapombe, Amir Maftah, Juma Nyoso, Yondani, Mafisango, Machaku, Mwinyi Kazimoto, Felix Sunzu, Haruna Moshi Boban na Emanuel Okwi.
Sub; Barthez, Chollo, Obadia, Costa, Uhuru, Jonas na Kago. 
 Kikosi cha timu ya ES Satif ya Algeria katika picha ya pamojha.

No comments:

Post a Comment