April 17, 2012

Shy-Rose Banji aukwaa Ubunge Afrika Mashariki

Hawa ndio walioshinda kuwa wabunge wa Afrika Mashariki ,Shayrose Banji,Anjela Charless Kizigha,Mwinyi Hassan,Taslim Twaha Issa, Kesi Ndelakindo Perepetua, Kimbisa Adam Omary,Murunya Bernad,Makongoro Nyerere na Yahya .

Tunawapongeza  kwa ushindi huo na pia tunawatakia kila la kheri katika majukumu yaliyo mbele yao.

No comments:

Post a Comment