April 04, 2012

Rais Kikwete akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Unilever Global Bwana Paul Polman Ikulu leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Unilever Global Bwana Paul Polman ikulu jijini Dar es Salaam leo. 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Unilever Global Bwana Paul Polman ikulu jijini Dar Es Salaam leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment