April 04, 2012

Pinda akutana na Kimei wa CRDB leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, DK.Charles Kimei, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 4,2012.Katika mazungumzo yao wawili hao walijadili mambo mbalimbali ya kusaidia kuendeleza na kukuza uchumi wa nchi. CRDB ni miongoni mwa Benki nchini ambazo zinashirikiana kw ukaribu na Serikali katika utoaji mikopo nafuu kwa wananchi walio na uhitaji huo.

No comments:

Post a Comment