April 13, 2012

NIMR yatoa semina ya wanahabari Dar kuhusiana na chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake

Mkurugenzi wa Kuratibu na Kukuza Utafiti wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) Dkt. Julius Massaga(kulia) akitoa ufafanuzi leo jijini Dar es salaam kuhusu chanjo ya satarani ya shingo ya kizazi kwa wanawake wakati wa semina na waandishi wa habari.
 Mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) tawi la Mwanza Dkt. John Changalucha(kulia)akiongelea leo jijini Dar es salaam na waandishi wa habari kuhusu matokeo ya utafiti wa mapokeo ya wananchi kuhusu chanjo ya saratani ya njia ya kizazi kwa wanawake . Kushoto ni Mtafiti Mkuu wa Utafiti wa Chanjo ya kuzuia saratani ya njia ya kizazi  wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) tawi la Mwanza Dkt.Deborah Waston Jones. 
Mtafiti Mkuu wa Utafiti wa Chanjo ya kuzuia saratani ya njia ya kizazi  wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) tawi la Mwanza Dkt.Deborah Waston Jones(kushoto) akiongelea leo jijini Dar es salaam na waandishi wa habari kuhusu matokeo ya utafiti wa mapokeo ya wananchi kuhusu chanjo ya saratani ya njia ya kizazi kwa wanawake . Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) tawi la Mwanza Dkt. John Changalucha(kulia)

No comments:

Post a Comment