MTOTO AMEPOTEA Mtoto ISSA ISMAIL, UMRI – Miaka 14 Anasoma Kidato cha Kwanza- B Shule – Sekondari ya Pugu Station Amepotea April 16 nyumbani kwao Gongolamboto mwisho wa lami. Aliondoka asubuhi saa 11:30 kuelekea shule na hajaonekana tena hadi leo . Mara ya mwisho alikua amevaa nguo za shule shati nyeupe na suruali ya kaki Tunaomba yoyote atakayemuona atoe taarifa kupitia simu numba : 0656 986 836 0713 902 547 0782 275 621 Au atoe taarifa kituo chochote cha Polisi au kwenye mtandao wako. Asante! |
No comments:
Post a Comment