Mshindi wa promosheni mpya ya Zantel iitwayo Tick Tock Mzee Eliahidi Musa Mvamba (mwenye kofia) kutoka Moshi ambaye amejishindia simu aina ya Nokia kwa kuongeza muda wa maongezi wa Tsh 1000. Kila siku Zantel wanatoa simu 24, simu moja kila saa pamoja na milioni 1 kupitia promosheni yao mpya ya Tick Tock. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Masoko Deepak Gupta, Afisa Mkuu wa Fedha Ahmad Almutawa na Mkurugenzi wa Biashara Ahmed Seif.
No comments:
Post a Comment