![]() |
| Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini alipoongoza mazishi ya Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu Harun Mahundi leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam |

Mazishi ya Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu Harun Mahundi leo katika makaburi ya Kiondoni jijini Dar es salaam.

RIP Afande Mahundi, ulitenda mema sana hapa duniani. tutakukumbuka daima
ReplyDelete