Katibu wa chama cha Masumbwi ya kulipwa nchini Antoni Rutta akiwainua mikono juu mabondia Rashidi Matumla kushoto na Maneno Osward kwa ajili ya mpambano wao wa kugombea Ngao ya Pasaka utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Dar live.
Mabondia wa kike wakitunishiana misuri kwa ajili ya kutambulisha mpambano wao kesho kushoto ni Jamhuri Saidi na Furaha Nganda baada ya kupima uzito leo katikati ni mratibu wa mchezo huo Kaike Siraju.
Mabondia Rashidi Matumla na Maneno Osward waklitambiana leo kwa ajili ya mpambano wao kesho.
No comments:
Post a Comment