April 10, 2012

Mama Salma Kikwete ahani Msiba wa Steven Kanumba


 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Msanii nguli wa Filamu nchini,Marehemu Steven Kanumba aliefariki Dunia siku mbili zilizopita nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam
  Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akikumbatiana na Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba wakati alipofika nyumbani hapo kwa ajili ya kuhani msiba huo,jioni ya leo.

Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa   Habari,Vijana,Utamaduni,Dkt. Fenella Mukangara wakati alipofika Nyumbani kwa Marehemu Steven Kanumba kwa kuhani Msiba huo.Kushoto ni Mama Mzazi wa Steven Kanumba.

No comments:

Post a Comment