April 23, 2012

Lulu Mahakamani hii leo

Msanii wa Filamu Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa chini ya ulizi wa Askari Magereza hii leo Mahakam ya Hakimu Mkazi Kisutu. Lulu alisomewa tena leo kesi yake na hakutakiwa kijibu chochote kwani mahakama hiyo haisikilizi kesi za Mauajiulu anakabiliwa na tuhuma za mauaji ya Steven Kanumba.

2 comments:

  1. mtoen lulu kwan hajahusika na kifo cha kanumba. kanumba tulimpenda lakin mungu amempenda zaid na sio swala la kuendelea kumshikilia huyo mtoto muachen afanye mambo yake the by gone is the by gone

    ReplyDelete
  2. Mungu akutangulie mdogo wangu ushinde kesi hii nakuombea sana

    ReplyDelete