Kwa mujibu wa Elizabeth Michael (LULU) alipohojiwa katika kipindi cha Take One ya Clouds TV kinachoendeshwa na mwanadada Zamaradi Mketema mwaka 2011 aliwahi kusema kuwa amefikisha miaka 18 na hii ilikuwa ni 2011. Sasa jamani mbona wazazi wake nao wanatuchanganya juu ya miaka ya mtoto wao????
No comments:
Post a Comment