April 11, 2012

kutokuwepo kwa tishio la Tsunami hatarishi katika Pwani ya Tanzania


Maelezo Maalum:

 Taarifa hii imetolewa kama Tahadhari Ofisi ya Waziri Mkuu Kitengo cha Maafainayohusika na usimamizi na uratibu wa Majanga ndiyo yenyedhamana yakutoamaelekezo ya hatua stahiki zinazopaswakuchukuliwa kutokana na taarifa hii.

Maelezo ya Jumla: Taarifa hii inashiria kupungua na hatimaye kutokuepo kwa tishio la Tsunami hatarishikatika Pwani ya Tanzania.
For: DIRECTOR GENERAL

No comments:

Post a Comment