April 13, 2012

Jiji la Dar es Salaam kutokea bahari ya Hindi

 Ukipita katika bahari ya Hindi na kuangalia jiji la Dar es Slaam basi miongoni mwa vikwangua anga na majengo mbalimbali ambayo unaweza kuyaona ni pamoja na haya. na Endapo kama Tsunamu ambayo juzi ilikuwa ipige ukanda wa Pwani ya Dar es Salaam basi majengo haya yangekuwa ndio waathirika wakubwa maana hayapo mbali sana na Ufukwe wa bahari ya hindi.
Majengo marefu bado yanaendelea kujengwa kama yanavyoonekana katika picha hizi.

No comments:

Post a Comment