April 09, 2012

Albino wa Temeke waomba Mchango wako mdau

TAARIFA KWA WADAU NA WASAMARIA WEMA 
CHAMA CHA MAALBINO WILAYA YA TEMEKE KINAWAOMBA WADAU WOTE KUWASAIDIA MSAADA WA GHARAMA ZA NAULI KWENDA LINDI KUHUDHURIA MAADHIMISHO YA ALBINO DAY AMBAYO YANAFANYIKA KITAIFA MKOA WA LINDI. JUMLA YA WASHIRIKI 20 WANATAKIWA KUHUDHURIA. 
MSAADA UNAOTAKIWA NI FEDHA ZA NAULI SHS. 1,000,000/- AMBAZO NI SAWA NA 50,000/- KWA KILA MSHIRIKI. UNAWEZA KUTOA FEDHA TASLMU AMA TIKETI ZA BUS KULINGANA NA UWEZO WAKO. 
PIA MICHANGO YENU INAWEZA KUTUMWA MOJA KWA MOJA KUPITIA AKAUNTI NAMBA 2012300323 NMB - BENKI HOUSE. PIA WAWEZA KUJA OFISINI KWETU TANDIKA MWISHO, OFISI YA MTENDAJI WA KATA YA TANDIKA. WASHIRIKI WANATAKIWA KUONDOKA TAREHE 29/4/2012.
PIA MISAADA YA FEDHA TASLIMU INAWEZA KUTUMWA KUPITIA HUDUMA YA M-PESA NA TIGO PESA KWA NAMBA ZIFUATAZO
0766 415248, 0769 273951, 0717 285055, 0718 926768

AMA UNAWEZA KUWASILIANA MOJA KWA MOJA NA VIONGOZI WA CHAMA KUPITIA SIMU ZILIZOTAJWA HAPA CHINI

0717 285055, 0718 926768.
LIMETOLEWA NA:
GASTON HEMED MCHEKA
KATIBU WA WILAYA.

No comments:

Post a Comment